Recent content by BALUHYA

  1. B

    Rais Magufuli atumbua mapapa wa Madawa ya Kulevya (unga)

    SIKUMBUKI IVI KWELI HABARI YA AMINA CHIFUPA IILIKUWAJE ?
  2. B

    Halima Mdee atiwa Mbaroni, apelekwa Central Police

    MOTOCHINI UKO WAPI ?
  3. B

    Halima Mdee atiwa Mbaroni, apelekwa Central Police

    watakamata wangapi ?
  4. B

    Ajali ya gari la mafuta Kibaigwa Dodoma

    DEREVA POLE AJALI HAINA KINGA !
  5. B

    Askofu Boniface Kwangu atimuliwa kazi kwa Ufisadi wa mamilioni ya Kanisa

    SIKU HIZI KANISA NI BIASHARA MAHUBIRI YANAANZA BAADA YA SADAKA NA MICHANGO MBALIMBALI !
  6. B

    Hatimaye Kamati ya Kudumu ya Kanuni za Bunge yaundwa

    NI KAMA KAMATI ZA ULAJI NIONAVYO MIMI KAZI YA UBUNGE NI KUTETEA MASLAHI YA WATU WAO KATIKA MAENEO YAO !
  7. B

    Kampuni 15 zashindwa kulipa kodi za kontena 329 zilizotoroshwa katika Bandari Kavu ya Azam

    HAPA KWETU KUKWEPA NI UMAARUFU KWANI ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI LIKAKUMALIZA !
  8. B

    Ajali: Basi la Alllys laua nane Urambo

    AJALI ZINASABABISHWA NA NEGLIGENCY MADEREVA HAO LAZIMA WAWAJIBIKE KWA KUUA WATU KWA MAKSUDI !
  9. B

    Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    KAMA ANAUBAYA KIASI HICHO ALIWEZAJE KUWA WAZIRI KWA AWAMU MBILI MFULULIZO !WACHA UDOMO KAYA MUUNGWANA NI VITENDO NO WASTE OF TIME LAZIMA KIELEWEKE SAFARI HII,IT IS TIME FOR CHANGE NOT DICTATORSHIP .
  10. B

    Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

    HUYU NAYE AMULIKWE WASUKUMA HATUNA MKUMBO,ANACHANGANYA SANA !
  11. B

    Ukaguzi wa vyeti feki Serikalini umeanza rasmi, waanza na Walimu

    KUNA MAWAZIRI FULANI FULANI WALIANDIKIWA KIJITABU KWAMBA NI VIHIYO LAKINI WANAENDELEA KUPETA !
  12. B

    Kashfa ya Stanbic: Serikali inaweza kutuambia ni kwanini waliotajwa na SFO hawajakamatwa?

    TULIONA WAKATI WA CAMPAIGN WAKIIMBA CCM NI ILE ILE ,MBELE KWA MBELE SASA TANAISOMA NAMBA HAKUNA MABADILIKO YOYOTE ,SI LOWASA ,SUMAI NA MZEE KINGUNGE NI CCM MPAKA KESHO.UPINZANI TANZANIA UMEKUFA TUNACHEZEWA AKILI.SASA JUENI KABISA KINYOZI HAWEZI KUJINYOA MWENYEWE !
  13. B

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

    Hii kampuni ni ya binafsi au ya serikali ?
Back
Top Bottom