Ndugu zangu hii ni habar nzuri kwetu kwan kama kuna sehemu wanaacha Umeme unatumika hovyo ambavyo Ungeweza kutumika sehemu nyingine so kwa kuudwa kikosi hicho mi Nawapongeza..
Wakuu m nazan ni Jambo jema kwa Tanesco wamefanya kutoa taarifa iliyopo mbele m sizan kama tunatakiwa kulalamika hvyo ila huu ni utendaj mzur wa kaz Ambao tanesco wanauonesha.
Duu Sikubalian na ww Kisiasa vp kwan Tanesco huwa wanakata Umeme nyumba za wanachama Ambao so wa Ccm na ambazo ni za ccm hawakat achen kupotosha umma Siasa na Mambo ya kitaalam ni tofaut...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.