wew acha wehu wako.
lile shambulio ubalozi wa usa dsm walikufa wazungu wangapi?
Asad - syria mpaka chemical weapon kwanini?
somalia wao kwa wao......
popote penye mauwaji ya kuchinja watu lazima mkono wa magaidi wakiislam upo kwanini?
JIHAD NITATIZO HAPA DUNIAN
Pengo anewasaliti maasikofu wenzako
pengo amekula tena maharage
nilikuwa namheshimuuu , sasa simheshi tena
pengo ameliabisha kanisa katoliki
pengo nan amekurogaaaaaaa!!!!!!
Wanajaribu kuzuia ghalika kwa mikono, ikumbukwe ndiyo mkowa ambao umebaki 100% tegemeo kwa ccm.
UKAWA kupitia Chama cha CUF inauwezo mkubwa kuchukuwa zaid 70% ya viti mkowani Tanga
Hiyo ndiyo suluhu yakweli 100%
1. Katiba ya wananchi kupitia J Warioba wameipiga chini
2. Maboresho ya daftari niya mazingaombwe
3. Raia wala hawafaham nini kimewekwa na mafisadi akina Chenge
4. Upo uwezekano mkubwa kura zikafanyiwa fraud na kupika takwim, je wakisema imepita raia...
unapigia kura jinamizi ambalo hata hulifaham, je wakilazimisha takwim, unajeshi wewe kukataa? wao wanamajeshi yote
Sanasana wanatafuta pa kurekebishia kura za maruhani.
UKAWA lazima wajipange sana,
Hili kama la kweli ninaliafiki 100%, kama wakikubali ile fedha ya Stanbic na ya mkombozi nk itafanyakazi ya kuhonga, usishangae ikapita. Dawa nikuitupilia mbali wakapige kura wenyewe ccm ili iwe katiba ya ccm 100%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.