Recent content by bajunilojia

  1. bajunilojia

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliopanda ndege, hivi kuna raha sana kiasi cha kumfanya mtu kupenda safari?

    Kupanda ndege hakuna raha yoyote ni kati ya usafiri unaochosha zaidi hasa ukiwa utazidi kukaa angani zaidi ya masaa 5 kutokana na kutopatikana hewa ya kutosha. ..labda wanafurahia maisha mengine wanapofika nchi za kigeni
  2. bajunilojia

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma 20 Nov, 2015: Hotuba ya Rais wa JMT kuzindua Bunge la 11

    Ndumakuwili wamegomea kusikiliza hotuba bunge wamejifungia vyumbani kuangalia kupitia Tv trh 20 januari watakuja tena kuichangia hotuba waliokimbia ........hatudanganyiki wachumia tumbo
  3. bajunilojia

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi (10) kuhusu maisha na mafanikio niliyojifunza kutoka kwa Edward Lowassa

    Utamu wa kuiba ndio uliompa nguvu yote ya kutenda mambo kila siku tamaa ilizidi kuongezeka
  4. bajunilojia

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Raia Wanne wa China mbaroni wakiwa na Pembe 11 zinazodhaniwa kuwa ni za Faru

    Ni jambo la kupongezwa kwa vyombo vya usalama
  5. bajunilojia

    JamiiForums Tanzania Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    Haya mambo ya kukanyaga chini bila viatu mbona tunaye Professor Mrisho Mpoto musiahangaike majibu anayo
  6. bajunilojia

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

    Aje na zile karatasi zake anazoandikiwa asome kama mtoto wa shule
  7. bajunilojia

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atoweka ghafla kwenye media nchini

    ATM imegoma kutowa fedhwa
Back
Top Bottom