Recent content by Baharia Mahaba

  1. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    🤣🤣🤣 Jamaa anawaza ukabwiri tu....
  2. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    Nani kakwambia mapenzi ni mepesi kiasi cha kusema uyapotezee??? Wapo watu tunawashuhudia wanatembea wanaongea barabarani kisa stress za mapenzi sembuse kuwaza??? 🤨🤨🤨
  3. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    Ila we jamaa avatar yako imenifikirisha mbali sana.... 😁😁😁😁
  4. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    Swaga ya kuolewa asilimia 85 ya mamanzi imewaingiza mkenge.... Mpaka unakuta wanatoa kiboga bila uoga 😂😂😂
  5. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Director kuonekana kwenye filamu ya Royal Tour ni sahihi?

    Ofcourse, wabongo wengi huwa tunajifanya wajuaji sana hata katika maeneo ambayo inabidi tujifanye wajinga ili kujifunza zaidi
  6. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Director kuonekana kwenye filamu ya Royal Tour ni sahihi?

    We umemaliza kila kitu nilichotaka kuandika... Huyu jamaa kweli ni kiazi tena mbatata
  7. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Alina Kabaeva: Mpenzi wa siri wa Rais Putin

    Wajomba mnawaza kugegeda tu... Aiseee! 😄😄😄
  8. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe?

    🤣🤣🤣🤣 Aiseee!
  9. Baharia Mahaba

    JamiiForums Tanzania Ndoto gani ya ajabu ambayo hutakuja kuisahau katika maisha yako yote?

    We jamaa 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Back
Top Bottom