Kama sijawahi kuomba kuletwa duniani, kuna haki gani ya kimantiki ya kunihukumu na adhabu ya moto wa milele?
Ujumbe wa Mada:
Kuja duniani haikuwa ombi, mkataba, wala uchaguzi wako wa aina yoyote. Hujaweka saini mahali popote, wala hukuchagua DNA yako, ubongo wako, wazazi wako, au mazingira...