Recent content by baghariiii

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lipumba asema Maalim Seif amewasaliti Wazanzibar na watanzania. Adai kuacha chama sio suluhisho

    Cuf ccm kwisha habari yenu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada kutua nchini wakati wowote

    Hata ikija si itakuwa kama zile za mwanzo tu,ziko wapi zile za mwanzo,zinzfanya nini ,hoja si ndege kuja, tu tuone na inatumikaje
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Tanzania imeendelea kung'ara, imepanda juu zaidi katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi

    Hizo zilizoko mmeshindwa kuwekw matairi mtaweza hizo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

    Ulikuwa choo cha kilabuni maana kila moja anaingia
  5. B

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalim afunguka madai kuwa si mkazi wa Kinondoni! Asema ameishi kwa miaka 14

    Njoo na wewe. Tukupachike ili upewe jimbo
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakipata Mwenyekiti mpya wanaweza kufanya mabadiliko mazuri na kushinda uchaguzi

    Huyo mbowe ndiye aliyewafanya wawafalishe polisi kuwa green guard ya kuwadhibiti cdm
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    Ccm kwisha mpaka wagombea mpaka wanunue toka chadema waliobaki ndani ya ccm ni makarai yaliyotoboka poleni makada karai
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Jumbo LA kigoma kusini miezi mingapi,huyu apimwe mkojo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Simfahamu na sijawahi kumsikia Katibu wa itikadi mwenezi wa CHADEMA kama CCM

    Ingelikuwa taasisi mdogo mngeliogopa mpaka mnaweka mikutano ya kisiasa mpaka kwenye mabasi watu wasiongee siasa
  10. B

    JamiiForums Tanzania John Pombe Magufuli: Kiongozi pekee barani Africa mwenye hotuba zenye mvuto zaidi kwa wananchi wake kwa sasa

    Amehotubia wapi,akalinganishwa na marais gani wakati yeye hahudhurii?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa Mwaka mpya: Maelfu wajitokeza kumuombea Rais na Tanzania kwa ujumla

    Hao waliomwombea TRA lazima wafanye kazi yao
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Katika nini? Kuwa na uchumi uliosinyaa aukuwa woga wa kusafiri
Back
Top Bottom