Recent content by bagamoyo mapinga

  1. B

    Kuepuka prostate cancer

    Watu wote wanaishi Dsm? Watu milioni 60 kati yao wanaoishi Dsm hawazidi milioni 7. Je, mikoa yenye baridi umei-consider? Huko mitanange muda wote, usikariri.
  2. B

    Shabiby line tuoneeni huruma abiria....!!!

    Kwa lugha yoyote itakayosemwa, pale Msamvu anapoingia Shabiby ili abiria wale msosi ni pachafu sana sana !! Lakini uzuri wa mabasi yao hawayapaki pafyumu feki za kichina china za buku 2 tofauti na mabasi mengine. Ukisafiri na mabasi mengine lazima ukanywe dawa ukifika kwa headache na...
  3. B

    A ya Physics/Math haina Umuhimu kwa "Kingereza hakipo"

    Ngoja divisioni 1 ya 7 au 8 ya O-level wakujie. Bado wale wa pointi 3 au 4 ya A-level. Usisahau wa GPA ya 4 (first class) wanakusogelea. Unapenda ugomvi wakati huna miguvu na gentleman pass yako ingawa maisha umetoboa.
  4. B

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Our colleague knows that he has spoken perfect English and is drinking beer where he is. Then you see this guy is in educational institutions teaching our children. Let us expect only pain for our youth because he will not know what he is teaching.
  5. B

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Msamehe bure, hana exposure kwani kamaliza o-level Likumbule karibu na Mbesa-Tunduru.
  6. B

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Lugha gani hii umeandika? Kama hujui english bora kuwa kimya badala kutuletea leshoroo humu.
Back
Top Bottom