Habari wapendwa,
Nauza gari yangu (mimi ni owner), Rav 4 J.. Imetembea KM 200,000, Year of manufacture 2000, engine capacity 1998, haijawahi kupata ajali, wala kupakwa rangi,.. Location- Dar, kwa dar unaletewa kuikagua ukiwa na fundi wako. Bei mil 11.5 (maongezi kidogo yapo)
Contact...