Hii taarifa inawalakini...ajali imetokea njia nne kilwa....tena inasema gari lilipinduka mara kadhaa eneo la nyangao lindi...hayo ni maeneo mawili tofauti kabisa kwa wale tunaoifahamu kusini
Hayo makosa mawili ya dr slaa uliyagundua baada au kabla ya lowasa kuja..?kama uliyagundua kabla..tuambie ulichukua hatua gani na matokeo ya hatua ulizochukua..?kama umeyagundua baada ya lowasa kuja tuambie uhalali wa kusema madhara itakayopata chadema baada ya lowasa kushindwa unaupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.