Recent content by badoo

  1. badoo

    Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

    Hayo hayotoki Kwa huyo mama wa sokoni ni kauli yako ulitaka Tu kuiwakilisha Kwa njia hiyo,aliewapa kazi sio wazanzibar ni watanzania kwamujibu WA katiba,wakati Magufuli anateua WA kwake na chato kupeleka hadi uwanja WA ndege kapeleka hamkusema kitu ovyo kwabisa
  2. badoo

    Wanaosema bandari imeuzwa wanavikosea heshima vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Tena hawana adabu kabisa [emoji1787]
  3. badoo

    Tetesi: Zuhra Yunus ndiye Mkurugenzi mpya wa Azam TV

    Mmmmh Prof Kabudi kashawahi kuwa waziri wa mambo ya ndani ?
  4. badoo

    Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar yabaki majengo na vitanda tu vya kulazia wagonjwa

    Hakuna shida ni Jamhuri ya Muungano yote hiyo,na ndio maana wengine wakaenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato ambao sasa hivi ni malishio ya wanyama [emoji1787]
  5. badoo

    Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar yabaki majengo na vitanda tu vya kulazia wagonjwa

    Hospitali KUU ya MNAZI MMOJA mjini Zanizbar imewashangaza Sana wananchi wake Kwa kuwa hospitali hiyo Kwa muda mrefu sasa hakuna dawa zinazopatikana hapo zaidi ya Panadol tu, hospitali hiyo ya Rufaa iliopo Mnazi Mmoja Unguja inalalamikiwa na wananchi wake kuandikiwa Hadi gloves wakanunue nje na...
  6. badoo

    Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Tafuta ya kwako uuze vyamzazi wako vitakuwa vyakwako pale atakapofariki.
  7. badoo

    #COVID19 Msisitizo Askofu Gwajima ni msimamo juu ya msimamo kuhusu Chanjo ya COVID-19

    Tatizo amekushikieni akili Sana akaona hatutajua kuwa yeye tayari ameshachanjwa muda tu na sio mara moja,Gwajiboy kama anasafiri kwenda nje mtambue kuwa amechanjwa hawezi kabisa kuingia nchi alizopendelea Sana kwenda bila kuchanjwa
  8. badoo

    Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Acha kulalamikia kitu kisicho na uhalisia,umeandika mengi lakini ni Nonesense [emoji57]
  9. badoo

    Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Hamna shukurani ndivyo wabongo mlivyo,Magu amekaa madarakani hakuwahi kupandisha madaraja wala ajira mpya,Leo hii mnakuwa madomo Kaya kumsema mama ambae hata miezi sita haikufika kapandisha madaraja, ameajiri walimu,watumishi wa Afya na Askari polisi waliokaa miaka sita bila vyeo Leo hii...
  10. badoo

    Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Kwa hiyo hizo milioni 450 ndizo zimesababisha Tanzania nzima kuwa hali ya uchumi ngumu? Mbona hamsemi milioni 500 alizozitoa kila Jimbo?
  11. badoo

    Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Hawa jamaa ni wale wakuambiwa masikioni lakini hawajui kama mama amepandisha madaraja na kutoa ajira,vipofu hao
  12. badoo

    Watanzania tunapitia kipindi kigumu kiuchumi kuwahi kutokea

    Kipindi kigumu nilianza miaka mitano iliyopita msitake kumtupia mama mambo mkamsahau muanzilishi
  13. badoo

    Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

    Wazanzibar gani hao? Au unaona hawana machogo ndio maana unashangaa? Nani kaminywa kichwa nyuma? Acha uzushi
  14. badoo

    TANZIA Njombe: Anthony Mwandulami Afariki Dunia. Alijijengea kaburi la mamilioni ya shilingi

    Hapo lilikuwa bado halijamalizika ,ukiliona saivi utakubali
Back
Top Bottom