Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏.
Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
Pia nitumie nafasi hii kumshukuru Mungu Kwaaajili yenu Walker Water na 7seven Kwa Elimu mlio tupatia Neema na Amani na Baraka za Mungu Mwenyezi zikae nanyi Daima. ujumbe wenu unamafunuo makubwa ya ukombozi, hakika wanadamu tunapitia changamoto mbalimbali ,vikwazo ,Vita ,magomvi ,uchumu...
Wakuu habari za mida Binafsi nampongeza Ladder 49 Kwa zuriii Na ushauri mzuri. Mimi nimesoma Kemia Na wakati tunafundishwa chuo mwaka wa kwanza tulifundishwa Intro ya C++ programming language nilipendezwa Na kozi hii inahitaji kufikiria Na kubuni kitu japo kwakipindi kile sikuelewa kabisa kozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.