Recent content by BACAT

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    CULTURAL PERSPECTIVES ON THE INCLUSION OF CHILDREN WITH DISABILITIES IN EDUCATION SETTINGS IN TANZANIA. OBSERVATIONS FROM IRINGA REGION Naweza kupata usaidizi wa general objective pamoja na main objectiv za hii title ya reseach
  2. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukifa, utanikuta motoni nakusubiri

    Ongezea kidogo iwe riwaya isomwe mashuleni
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mkakati: Vikundi vya kupigie debe Tozo vyaandaliwa. Wamo wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mamluki wanaolipwa

    Ngoja tuteseke si tunavunga wanafiki
  4. B

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Samia kuondoa Mwenge kwenye daraja la Tanzanite limepuuzwa?

    Kunamambo ya msing alipaswa kusema na kutoa maagizo siku hiyo kuliko hilo alilo litaka
  5. B

    JamiiForums Tanzania Volunteer

    Naitwa Baraka Ally.Mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza course ya Culture Anthropology and Tourism katika chuo kikuu cha iringa zamani Tumaini. Hivi punde mwezi wa 7 tutafunga chuo hivyo basi naomba mtu yeyote anae jihusisha na masuala ya utalii na mahotelini niko tayali kujitolea kufanya kazi mkoa...
Back
Top Bottom