Recent content by Bac3

  1. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    asante sana mkuu...nimekuelewa saana
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    pia mkuu chuo gani au vyuo gani vizuri zaidi ajaze kwenye selection? please
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    asante mkuu labda niulize kingine..mfano amechagua hiyo computer...je anawezaje kuongeza hizo skills/fani nyingine....anakuwa anajifundisha au ni mitaala ipo imeongezwa moja kwa moja? mfano programming,coding,AI na mengineyo..kuhusu lugha nahisi hiyo atasoma pembeni private... kutokana na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    yeye kiufupi anapenda mambo ya computer tu...ila tunaona yamegawanywa...ipi bora zaidi? je kuna soko???? vip civil engeneering? japokuwa hii nimeiulizia mimi tu..ila yeye ni computer...na je diploma ana mkopo?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    mkuu wewe kwa computer angelikuwa dogo lako au mwanao kwa uzoefu wako na kulingana na soko...asomee course ipi ya computer na mkopo anapata?? pls jibu hayo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    je atapata mkopo kwa diploma?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    asante mkuu kwa hiyo kuspecialize mpaka afike degree? diploma anasoma tu general computer tu?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    anapata mkopo?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    aliyetoka form 4 kutafuta diploma anapata mkopo??
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    sawa mkuu... unajua haya mambo hatuyajui..wanasema computer imegawanyika vipengele...ila dogo yeye anapenda mambo ya computer...kipengele kipi kina soko zaidi? na enzi zetu tulkkuwa tunajaza choices zaidi ya moja..sijajua sasahiv wanachagua vip.....nimshauri ajaze vip?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    asante mkuu..naskia kuna DIT,,,ATC,,,MUST je anapata mkopo??? je course ipi ya computer nzuri zaidi?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    asante mkuu...anatakiwakuwa na choices kadhaa sasa hatuvijui vyuo vta computer
  13. B

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Nina mdogo wangu wa kiume kapata dvn 1.7 sasa hatujajua achague chuo gani. Yeye hataki kwenda advance.. Anapenda mambo ya computer ila sasa hatujui computer imegawanyika vipi na ipi ni nzuri zaidi. Pia je mwanafunzi anayetokea o level anaweza pata mkopo? ipi course nzuri ya computer...
  14. B

    JamiiForums Tanzania SOLD: Vitu vya ndani vinauzwa vyote

    asante mkuu kwa reply yako.....lakin pia nilikuja nikauza vyote....just imagine....
  15. B

    JamiiForums Tanzania SOLD: Vitu vya ndani vinauzwa vyote

    nishauza mkuu
Back
Top Bottom