Recent content by babylola

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hata kama wamchukia, lakini Dr. Jakaya Kikwete ni mfano wa kuigwa barani Africa

    What the topic is this. HAKUNA RAIS ALIYEWAHI KUNIFURAHISHA KAMA MKAPA NA MUNGU AMZIDISHIE HATA KAMA ALICHUMA ALE KWA RAHA. AMEKABIDHI NCHI IKIWA NA UCHUMI SAFI ILA LEO DUUUUUUUU HEBU MUNGU ATULETEE KIONGOZI MZURI ATUFUTE MACHOZI
  2. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Mamndenyi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Diamond ni mfano wakuigwa ktk kutoa na ndio maana anazidi kufanikiwa huyo mbunge wenu kazi yake ni hiyo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Barabara za jimbo la kawe aibu kashalewa hata hivyo asahau kawe labda kigoma kaskazini
  5. B

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

    Tena mzigo hasa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee ndio msanii bora wa kike kwa sasa, Jide kakabidhi kijiti rasmi

    Kwa niaba yako mwenyewe
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mawaziri aina ya Magufuli ,Mrema na wengine wa aina ya Nyapara ni too manual hawana sifa za uongozi

    Kwanza urais ukimpa magufuli unaua kipaji
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mawaziri aina ya Magufuli ,Mrema na wengine wa aina ya Nyapara ni too manual hawana sifa za uongozi

    Mi naona umechanganya mambo mrema wa sasa huwezimlinganisha na magufuli hata mwakyembe ni tofauti sana na magufuli na hawa watu ni mwakyembe na magufuli ni watu wanaopiga kazi na wanapenda recognition
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa huwa anawakimbia wanahabari?

    Mbowe kama Hana hoja wewe una ipi au hoja zako ndio hizi zakuwasema wakubwa zako utadhani yule jamaa aliyepewa ukuu wa wilaya kwasababu ya kiherehere
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    Mahakama ya Kadhi Italeta mifarakano ila pinda aliwadanganya
  11. B

    JamiiForums Tanzania Pasaka ilivyokuwa

    Huu si ujana ni ujinga
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa huwa anawakimbia wanahabari?

    Huawei kua mtu wakuongea tu kila unapoona mike
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa huwa anawakimbia wanahabari?

    Wewe umetumwa na CCM nini? Kwanza siasa hujui kuonekana kwene media sio kipimo ndugu refer your political knowledge
  14. B

    JamiiForums Tanzania Haiingii akilini kuwa miezi mitano kabla ya uchaguzi mkuu hatuwajui wagombea

    Wanaogopa kua na muda mrefu watawapa watu nafasi yakuwachunguza sana pia hawapendi midahalo maana wako shallow so Wanaogopa maswali
Back
Top Bottom