Recent content by babychaga

  1. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ikishinda Pingamizi Wabunge Viti Maalum CCM Watapungua?

    viti maalum vinatokana na percentage za kura za urais wala sio za ubunge. mbona mnajidaigi sana as if ni wasomi kumbe hata jambo dogo hivi hamjui?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini

    2013 ksh 70 ilikuwa sawa na usdola moja leo hii 105ksh ni sawa na dola moja. Mhe. hapa kazi tu hebu papitie ili tsh yetu angalau iweze kufanya vizuri ili tuipiku ksh
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuhuma Hiyohiyo, akisema CHADEMA wanazomea, akisema mwanaCCM wanashangilia..!

    hii ni enzi ya mabadiliko
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli akifungua rasmi bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Novemba 20, 2015

    Si kawaida kwa nchi nyingi za sub sahara kuconduct election from the initial stage ya kampeni na siku ya uchaguzi na post election na bado watu wakawa na amani kama tz. its real this is only tanzanians can aford. God bless tz and the elected ones.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM yatoa uamuzi kuhusu wanachama sita waliokuwa wamefungiwa

    Chaguo la mungu ni yesu peke yake
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nitalifikisha gazeti la JamboLeo mahakamani

    Mrema jembe
  7. B

    JamiiForums Tanzania SMS ya siri kwa Rais Kikwete yavuja, mtumaji asimamishwa kazi

    Nchi nzima haina siri Yeuwiiiiiiiiiiiiiii Yeuwiiiiiiiiiiiiiii
  8. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa kukaangwa kama Yesu!

    Wewe huwezi kumlinganisha yesu na lowasa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetajwa na Gazeti la Buzz Feed namba 6 kati ya nchi 20 ambazo ni lazima kuzivisit Dunia.

    Kama ni kweli ni lazima na mm nitaitembelea tanzania
  10. B

    JamiiForums Tanzania Burundi inaendekezwa na Tanzania

    Nampenda xana rafiki yangu nkurunzinza
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la burundi wapi KUB?

    Nimechoka hizi siasa
Back
Top Bottom