Muungano uko very stratergic kiasi zanzibar walibaki na uhuru wa bendera na mamlaka hypothetical while Tanganyika walipoteza kila kitu ili tu kukaa juu ya zanzibar,awan bendera,wimbo,bunge wala serikali
iv asset audit ya mali za waislam ilishauriwa na raisi? ni kweli kati ya chuo na msikiti walichagua msikiti au ni umbea tu wa mtaani kaka naomba kuuliza
Unakuta wanauza mpaka mikoba kariakoo,serikali inajali kodi tu lakin welfare ya mzawa awajali kabisa yote io ni selfishness ya viongozi au uelewa mdogo wa maswala
Mpango ni mkusanya kodi tu that what he is best at,na kwakua pres ni mtu rahis kum manipulate kwa figures basi mpango atakaa mda mrefu ni kwamba they are fucking up the economy for their own sake cha ajabu mamtu ya kujiita CCM yana dhan ni for their own good and prosperity of the party,wakae...
swala sio kujua kingereza apa swala ni elim aliyonayo na kwa nchi etu medium of instruction ni kingereza inakuaje mtu mwenye elim ya doctorate awez kumudu grammatical english achilia mbali accent tu(sio shida san)..sasa aliandika vip thesis,presentations n.k kwa wanaosom elim izo wanajua penalty...
The fact kwamb unajarbu kuonyesh hakusom UDSM yani unam degrade ni wazi kwamba unaathirika na hoja zake/umbea kam mnavyouita alafu kwanini mange? wakat nae ni instagram user kama walivo watu wengine kama sio amekuuguza ATELOPHOBIA wakat unajarbu ku weigh nae
We umeconcetrate kwenye details za technolojia iliotumika lkn hugusiii content km ni relevant ama lah alafu unasem unfanywa mjinga wakt ujinga umeubeba mwenywe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.