Recent content by babutz

  1. B

    Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

    Hapo ndipo unakosea, mipango ya kuliimarisha jeshi yote ipo katika ilani ya miaka mitano ya ccm, Miradi yote mikubwa ya kimaendeleo ya vyombo vya ulinzi kwa miaka mitano ipo kwenye ilani ya ccm
  2. B

    Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

    Ilani ya chama ndiyo imeeleza namna gani masuala ya ulinzi yatafanyika, humo ndimo kuna nyumba za askari, uboreshaji wa miundombinu ya vyombo vyetu vya ulinzi,vitendeakazi vya majeshi nk. Pia kumbuka serikali ni ya ccm na ndio inayopamga ,matumizi ya bajeti ambayo inapitishwa na bunge. Je kama...
  3. B

    Juliana Shonza tulikuonya ukapuuza, sasa UVCCM wanakung'oa

    Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imemshambulia Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Juliana Shonza kwa kufungia wasanii na nyimbo za wasanii mbalimbali akiwemo Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’. Naibu Waziri huyo hivi karibuni alitangaza kuzifungia nyimbo...
  4. B

    Kuna kila sababu ya Mtulia kuchaguliwa Kinondoni

    Alianza kwa kumuomba kwa unyenyekevu sana Rais Magufuli awajengee magorofa wananchi wa mabondeni na Rais Alimkubalia Ombi lake Wanakinondoni tukamchague Mtulia, maulid akakamilishe adhima yake ya kuwapatia makazi watu wa mabondeni waliovunjiwa nyumba zao. Mtulia ni mtetezi wa wanyonge...
  5. B

    Idd Azzan: Nitashirikiana na Mtulia kuleta maendeleo Kinondoni

    “Dhamira ya Mtulia akiwa Chama kile(CUF) ilikuwa kuwatumikia wananchi wa Kinondoni ila kwa bahati mbaya sana kule alikokuwa( CUF) alishindwa kutekeleza adhima yake, Baada ya kuona anashindwa kutekeleza dhamira yake akaamua kuachana na Ubunge kupitia Vyama hivyo(Upinzani) na kuamua kujiunga na...
  6. B

    Yaliyojiri ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Kheri James, mkoani Mara

    Taarifa ya Ziara ya kikazi Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg Kheri D. James katika wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara
  7. B

    Mwenyekiti UVCCM Ateta na watumishi wa UVCCM Zanzibar

    Kweli ni habari ya kijinga ila haiifikii ile ya Lowassa kushawishiwa karudi CCM
  8. B

    Mwenyekiti UVCCM Ateta na watumishi wa UVCCM Zanzibar

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Kheri Denis James leo Januari 16, 2018 amekutana na kuzungumza na watumishi wa Jumuiya hiyo Afisi kuu Gymkana Zanzibar. *TUKUTANE KAZINI*
  9. B

    Kibaha: Shaka akutana na vijana na kuzungumzia changamoto wanazozipata kuhusu ajira na ujasirimali

    Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka usiku huu amejumuika na vijana wa wilaya hiyo katika meza ya mazungumzo kuzungumzia changamoto za Vijana, ajira, ujasiriamali pamoja na namna ya kutekeleza mpango wa vijana kujitolea katika shuhuli za maendeleo ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za miaka...
  10. B

    Kheri James: Hakuna chama chenye hadhi ya kuiondoa CCM madarakani

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema kuwa nchini Tanzania hakuna Chama chenye uwezo wa kushindana na CCM kwani vyama vilivyopo ni mfano wa kamati za harusi zenye jukumu la kupanga na kuratibu sherehe za ndoa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Umoja huo na Mjumbe wa Kamati...
  11. B

    Wapinzani acheni upotoshaji, watumishi wa serikali watapandishiwa mishahara

    wewe wasema, jana tafiti ya twaweza imeonesha wazi kabsa namna watumishi wanaifurahia serikali ya awamu ya tano kwan kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuboresha mishahara yao kwa njia ya annual increment, kupanda madaraja pamoja na kupunguzwa kwa kodi ya mshahara(PAYE),,uhalisia upo wazi...
  12. B

    Wapinzani acheni upotoshaji, watumishi wa serikali watapandishiwa mishahara

    Kumekuwa na upotoshaji unaofanywa na vyama vya upinzani kuhusiana na hotuba na Rais Dkt Magufuli aliyoitoa katika ufunguzi wa Mkutano wa 33 wa ALAAT hasa kuhusu suala la upandishaji wa mishahara kwa watumishi wa umma. Kwanza ieleweke katika Mkutano ule madiwani walimuomba Rais Dkt Magufuli...
  13. B

    Mkuu wa Majeshi, Jenerali Mabeyo awataka wananchi kutulia wakati vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi yake

    Mkuu wa majeshi ya Ulinizi na Usalama nchini Jenerali Venance Mabeyo ameshtushwa na namna Chadema wananvyoweka uzito mkubwa tukio la kushambuliwa kwa Tundu lissu na wakati tukio la Kibiti liliathiri na kuua watu wengi sana na waliviacha(chadema na watanzania wote) vyombo vya ulinzi na usalama...
  14. B

    Baada ya onyo la Rais Magufuli kwa UVCCM (Sadifa na Shaka), TAKUKURU kufa na wafuatao

    Ni ufala tu WA chadema,,ufisadi ndani ya chadema aliondoka nao Mzee Lowassa
Back
Top Bottom