Recent content by BabuKijiko

  1. BabuKijiko

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | 18.08.2024

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024 8' 0 - 1 Mayele F. 14' 0 - 2 El Karti W. 26' 0 - 3 Mohanad Lasheen 32' 0 - 4 Adel I. 2nd Half ' 0 - 5 Mohanad Lasheen 88' 0 - 6 Zalaka M.
  2. BabuKijiko

    Leo utakuwa pande zipi kuenjoy na kuitazama Yanga katika kilele chao cha wiki ya Mwananchi?

    Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa...
  3. BabuKijiko

    Wananchi wa Mburahati wamueleza Waziri Masauni "kuna viongozi wanawalinda waharifu waziwazi”

    Wananchi wametoa maoni kuhusu Jeshi la Polisi na kumwambia Waziri baadhi ya changamoto zilizopo ni viongozi kuwatetea wahalifu na wengine kutowahudumia wanapokuwa na uhitaji kwenye vituo vya Polisi - Waziri Masauni ametoa taarifa ya Serikali akielezea mkakati wa Serikali wa kupeleka Polisi Kata...
  4. BabuKijiko

    PreGE2025 RC Chalamila Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 utafanyika katika Mitaa yote 564

    Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90. Hatua zinazoendelea ni pamoja na Maandalizi ya Vifaa vya Uchaguzi, Uhakiki wa Vituo vya kuandikishia Wapiga kura...
  5. BabuKijiko

    Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

    Amesema amefanya mabadiliko hayo ya kumuondoa Alphayo Japan Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya Rais – Ikulu kwa kuwa anaamini alipokuwa alielekea ni ‘ku-data’
  6. BabuKijiko

    Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni

    BUNGENI: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye, amesema Serikali imeshatoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Kitengo cha Cyber Crime Unit kuwafuatilia na kuchunguza Watu wanaotumia taarifa za waliowakopesha Mtandaoni kwa lengo la...
  7. BabuKijiko

    Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

    Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15
  8. BabuKijiko

    Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

    "Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza." "Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
  9. BabuKijiko

    Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

    Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa amefungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge kuanzia Juni 24, 2024 kwa kosa la kukiuka Kanuni za Bunge, kudharau Mamlaka ya Spika na mwenendo wa shughuli za Bunge, atarejea Bungeni katika kikao cha pili cha Novemba, 2024 - Mpina ametiwa hatiani baada ya kuzungumza na...
  10. BabuKijiko

    Dkt. Omary Ubuguyu: Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili

    Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili Mazoezi pia huupa Mwili uwezo wa kutumia Sukari iliyo ndani ya Mwili na kujenga Misuli
  11. BabuKijiko

    Maxence Melo: JamiiCheck imekuwa Msaada mkubwa kwa Jamii katika Kuhakiki Taarifa

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022 Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
  12. BabuKijiko

    Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%

    Akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40% Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25%...
  13. BabuKijiko

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa aliyemaliza muda wake na kushindwa katika Uchaguzi uliompa ushindwa Joseph Mbilinyi (Sugu), Mchungaji Peter Msigwa amekata rufaa kupinga Uchaguzi huo akidai ulivurugwa - Akizungumza na Waandishi wa Habari, Msigwa amesema Uchaguzi huo ulitawaliwa na Mbinu...
  14. BabuKijiko

    Jackson Mmari: Tatizo la Rushwa linaanza na Mtazamo wa Mwananchi mwenyewe

    JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea...
  15. BabuKijiko

    Jeshi la Polisi latoa ufafanuzi juu ya tuhuma za baadhi ya Trafiki kuhusika na uchepushaji wa fedha

    Kufuatia taarifa kuwa baadhi ya Askari wa Usalama Barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za Serikali POS (Point of Sale), Jeshi la Polisi limesema suala hilo si kweli bali linawahusu baadhi ya Askari waliotumia vibaya mashine za kupima mwendokasi (speed radar) kwa manufaa yao binafsi...
Back
Top Bottom