Recent content by babukatunz

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Daah hongera sana,lipo jambo nimejifunza kutoka kwako,umetujali kwa kutumia mda wako,baadhi ya stor zako zimekuwa na funzo,ila nipe nikutanishe mary aliyeko mwanza,hata nimsalimie,tufahamiane nae kimwanzamwanza.Mungu amkufungulia njia,barikiwa mtu wa Mungu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu pole sana,ugesema kabisa uko mkoa gani,
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Epsod ijayo kizoka anakula kitu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hivi kama ni wewe unaweza kufanyaje,mke mkubwa anamfaham,mama mkwe kisha lambishwa asali ua umesahau ?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nyumbani tena?huyu mwanamke alikuwa na mbongo sana,na kuwapata wa hivi huwa ni bahati sana!sawa na kukutana na malaika wa yakobo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Siyo kila kitu lazima umgombeze Mkeo,Mmeo au Mtoto wako
  7. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hii jf mbona hata siielewi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Irene ana hila sana ndo atakuja zanzibar,wala siyo mzigo kama mzigo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tukisema lazima atubadilshe mtazamo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Zanziba utaenda na Asma,kizoka atampa gari epsod hii
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Daaah,Asma ameshaliwa tayari,na kakubali kuwa mchepuko wa siri
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji855]
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ambao hatuko dar inamaana tumeungua hatutakula/kunywa nawe
Back
Top Bottom