CCM kutumia Waislamu kuwa vibaraka wao kama ilivyo Bakwata sasa ni jambo lilioanza tangu enzi za Julia's.
Point of interest hati ya kufutwa East MUSLIMS Association ilisainiwa na Said Masanywa waziri wa mambo ya ndani kwa maelekezo ya Julia's.
Tangu Jiwe atutoke matunzo ya barabara ni kama hakuna.
Mnajenga km 100 huku km 200 zinaharibika
Kipindi cha uwaziri wa barabara wa Mtaalmu wa uvuvi ndio kibaya zaidi.
Mwambieni Msigwa atoke na gari toka Dodoma mpaka Tanga kupitia Arusha kisha Mwanza kupitia Musoma hadi Arusha kama hajalazwa BM...
Nilienda kufungua toto account ya watoto wangu benki moja Mnazi Mmoja tukiwa kwenye foleni tukaambiwa tupishe dirisha moja kuna kazi maalu6.
Bwana wee amekuja Muhindi mmojs na mifuko ya sandarusi mitatu imejaa noti za elfu kumi kumi
Najiuliza TRA wanajua mapato ya hawa watu ingawa fedha zake je...
Ni Diaspora yupi aliye wachochea vijana wachome na kupindua nchi.Tupe mfano hair na source yako.
Mwana Diaspora gani aliyesema Ulaya na Marekani hakuna shida wala kero.
Tupe mifano michache na rejea nasi tukaone.
Bet huwezi unaandika hekaya za Abunuwasi tuu tunachojua walikuwa wanawaambia watu...
Waste of time and money
Wakimaliza atakadhiwa DPP naye aunde tume yake ya kina Katuga waangalia nani wamuangushie jumba bovu halafu inafika 2030 mama anasepa.
Hilo ndio lengo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.