Recent content by babu mwendo wa saa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    hata mtoto wa miaka 10 hawezi kuning'inia kwenye hilo bomba alafu lisikatike, maelezo ya kipuuzi sana kutoka kwa RPC maana ni yakufikilika sana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi apigwa na Askari wa Usalama!

    mwanajeshi wa znz huyo, urojoo ushamuaribu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wajipandishia Posho katika vikao vya Bunge la Bajeti hadi 300,000 kwa siku!

    kwenye posho chadema na ccm ni kitu kimoja misuli inawatoka posho haitoshi...kwenye hela sio wapinzani kabisa, wanachama mnakasilika vitendo hakuna. Tanzania bado hakuna vyama vyakutuletea maendeleo vyote ni vyakutufilisi tu. naomba Mungu jeshi ichukue nchi kwanza tumpate kiongozi katili...
  4. B

    JamiiForums Tanzania IKULU yawashukia Jaji Warioba na Gazeti la Raia Mwema (la Jumatano April 2, 2014)

    bangi si nzur kabisa. ona sasa aibu gan hii kwa jina kubwa kama ikulu
Back
Top Bottom