Kuna msemo maarufu unasema Kunya anye kuku tu, akinya bata kaharisha!!!! siasa za Tanzania zimekuwa ni mipasho na kudharalishana mbele za kadamnasi za watu bila ya kujali cheo au umri au haiba ya mtu. Nimeshangaa kuona wabunge wa CCM wanachambwa mbele za watu na viongozi wao utafikiri ni wa...
Sielewi kama naota au vipi kama kanisa la Gwajima halijafungiwa mbona leo polisi walikwenda huko na kowasambaratisha waumini wa kanisa hilo tena kwa kuwapiga mabomu
Hata Mungu alimuepusha Yesu kuuwawa na Herode akawafanya Mamajusi wabadilishe njia. Gwajima anajua kilichompata Boni Mwangi wa kenya anajiepusha na hilo na Mungu atamlinda tu. Nchi imeharibika bwana
Nabashiri jambo baya au tusilolitazamia kutokea kwa sababu naona maamuzi mengi yanatolewa kwa gadhabu bila hata kufikiri kidogo repercussion. Jamani mimi sielewi tupo wapi na tunaelekea wapi kila kitu kipo shagalabagala. Hali hii naona Mungu ametuacha hakika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.