Recent content by Babilonian

  1. B

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Muacheni Sheikh wa watu aongee fikra zake ,huo ni uhuru wa jila mtanzania kufanya hivyo ,punguzeni siasa za mzee Kambarage za dictation hapa ambazo watu walizuiliwa kutoa maoni yao au kuulizia kuhusu jambo lolote lile ,wacheni ushabiki wa dini hapa.
  2. B

    Una maoni gani kuhusu hii picha

    Hawa watu wanatakiwa wawe vijijini kujenga taifa lakini huko nako hakukaliki kabisa wote wanakimbilia mijini kutafuta ajira na matokeo yake ndiyo kama hivi tunavyowaona,sijui viongozi wetu hawayaoni haya,watu wa ccm maneno mengi sana tumewaachia wenyewe mpaka kutufikisha hapa tulipo.Naomba watu...
  3. B

    Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

    Mzee Masanja umeandika vitu vya maana sana kwani tukitaka kufuatilia nani raia kamili kutakuwa hakukaliki karibu kila mtu sio mtanzania ,hata mzee Kambarage naye wanasema hakuwa mtanzania alikuwa ni mburundi,hii ni topic moja ya kukomoana tuu.
  4. B

    Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

    [Masanja kaaandika maneno msumari sanaQUOTE=Masanja;73174]Ndugu zangu, hii issue ya uraia ni very SENSITIVE SANA, Nani MTANZANIA halisi? jamani, tukianza kufukuzana kwenye hii nchi sijui kama patakalika. Huo moto aliuwasha Gbabo kule Ivory Cost nadhani mpaka leo tunaona matunda yake. Hii issue...
Back
Top Bottom