Recent content by babayah67

  1. babayah67

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Rais Magufuli Kabla Hujateua Waziri Mwingine wa Madini na Nishati

    Hisia zinanituma waziri ajaye baada ya Muhongo ni Naibu waziri wa Wizara hiyo Kijana wake toka Chato anaitwa Kalemani,
  2. babayah67

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mhe Job Ndugai

    Yaliyofanyika jana ndani ya bunge huku yakitazamwa na wanasheria maarufu kama Prof Kabudi yatazalisha aibu kubwa kwa Bunge letu. Ninaona tayari kuna kesi mbili zitakazokuja. Kesi ya kwanza ni Maalimu Seifu na kundi lake kupinga Mahakama ya Afrika ya Mashariki juu ya Uhalali wa Habibu Mnyaa, kesi...
  3. babayah67

    JamiiForums Tanzania Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    [....... Magufuli is now the talking point across the globe and helping to brand Tanzania positively, making us Tanzanians feel proud once again. . Is Magufuli now the talking point across the globe for what ??? GOOD or BAD? To me he is a talking point for overstepping others and interfering...
  4. babayah67

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ukweli haupendi kupuuzwa, msitupe hela kufadhili uongo

    Jana Nimeangalia Azam TV saa Mbili Taarifa ilitolewa kwa uzuri tu
  5. babayah67

    JamiiForums Tanzania Neno la Nyongeza: Tatizo la ATCL Halikuwa Ndege!

    Njia moja ambayo JPM ataitumia kuhakikisha ATCL inafanya biashara ni kupiga marufuku kwa wafanyakazi wa serikali wote kutumia usafiri wa ndege nyingine kama Precision, Fastjet au KQ pale ambapo ATCL ina operate.
  6. babayah67

    JamiiForums Tanzania Mbona Tunapiga Sana Kelele Kuhusu Sukari?!.Hii ni Bidhaa Muhimu au ni Starehe Tuu!.

    Pasco nakuunga mkono kabisa. Badala ya watu kulalamika saana na serikali kuacha kufanya vitu vingine kila uchao ni sukari sukari tu. Sukari kwanza ina madhara mengi tu miilini mwetu kubwa ikiwa kusababisha maradhi ya moyo na pressure na ugonjwa wa kisukari. Kuadimika kwa sukari nafikiri ingekuwa...
  7. babayah67

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa: Kompyuta yenye rekodi yaibwa, wakopa benki kwa majina hewa

    Jamani hakuna Computer inaitwa EPICOR, bali kuna computer inayotumia mfumo au software ya EPICOR. So kilichoibiwa ni computer au ni software ya EPICOR???????
  8. babayah67

    JamiiForums Tanzania Shule za sekondari FEZA zatoza ada ya kawaida kuunga mkono juhudi za serikali

    Nafikiri ada hiyo ni kwa muhula mmoja. Feza ina mihula mitatu kwa mwaka, so hicho kiwango zidisha mara tatu, hahahahahaa
  9. babayah67

    JamiiForums Tanzania Dr. Francis wa CCM: Tutajenga reli kwa kiwango cha lami

    Kiwanda cha Azam cha tazara zamani ilikuwa ndio makao makuu ya NMC. Inasemekana Azam alipewa hapo kama compansation baada ya serekali kutakiwa kumlipa SSB kutokana na serikali kumwaga shehena zake za ngano na Michele kwa kisingizio Kuwa shehena hiyo ilikuwa na vyakula feki. Aliposhitaki...
  10. babayah67

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha kampeni cha CCM chatajwa kuongozwa na Kinana, Nape na Mwigulu ndani

    wapo bana mfano ni yule jamaa wa kimasai mbunge wa Simanjiro OLE SENDEKA
  11. babayah67

    JamiiForums Tanzania CCM tutulize vichwa, Lowassa ni tatizo tulilojitengenezea wenyewe, hakujitengeneza!

    Umejitahidi kuandika ila kuna uhalisia mmoja bado umeshindwa kuelewa. Kilichopo sasa sio Ukawa Vs CCM bali ni Citizen Movement of Regime change under the leadership of EL. Our main aim is to change the system. Haijalishi atakayeongoza hii movement ni mchafu kiasi gani, ni fisadi kiasi gani...
  12. babayah67

    JamiiForums Tanzania Swali Lisiloulizwa: Ikitokea Hivi Itakuwaje kwa Mgombea Urais CHADEMA?

    Kwa hali na Ari ilivyo kwa wananchi asimame yoyote upande wa Chadema achilia mbali EL na Slaa people will choose him/her. Tuna hitaji kuuondoa mfumo wote, then tutajuana mbele ya safari. Kama haitotokea mwaka huu this will require another 50 years kuwa na mazingira kama haya.
  13. babayah67

    JamiiForums Tanzania Hakuna Uwezekano wa Bunge kupitisha Sheria za Gesi, wanapoteza Muda!

    Jamani mtaipeleka mahakama IPI? hii ya Tanzania? Kama kuna uwezekano basi kesi ifunguliwe mahakama ya Afrika.
  14. babayah67

    JamiiForums Tanzania Mada: Sekeseke Bungeni - StarTv

    Kwani jamani Star TV hamjui msimamo wao? Hawawezi let's mtu wa kuivua nguo serikali yao.
  15. babayah67

    JamiiForums Tanzania UKAWA acheni za kuleta, Tangazeni nia

    Jamani wana CCM mkoje??? Kwani hamkusikia siku Prof Lipumba alipotangaza nia ya kugombea Urais??? Kama ambavyo CCM hamjapata nani atakuwa mwakilishi wenu na ukawa wanachosubiri ni muda ufike wamtangaze Rasmi Prof Lipumba kuwa ndio mgombea wa Ukawa.
Back
Top Bottom