Recent content by Babanamama

  1. B

    Natafuta mume wa kunioa miaka 27-33

    Nimeipenda hio. Naweza kukuunganisha na mtu japo so msukuma wala mjita lkn anatoka kanda ya ziwa pia. Vigezo vyote hivo anavyo japo hajabahatika kupata kazi bdo. Hem ni-inbox more info then naweza niwe daraja kt yenu.
  2. B

    Nifanyaje kuondoa bikra ya mke wangu?

    Wadau, niipi njia rahisi ya kuondoa bikra kwa mwanamke mwoga?
  3. B

    Eneo la beach acre 4 linauzwa

    Natafuta mteja wa eneo la beach kyela 15km kutoka mjini lina mchanga na kina kifupi. Lina apartment haijakamilika. Mil 50 lakini bei inaweza kujadiliwa.
  4. B

    Naomba kueleweshwa

    Sheria inasemaje kuhusu upimaji wa ardhi vijijini?
Back
Top Bottom