Sasa yeye kama atakuwa anapigwa targeted area kwake Kwa heavy punch alafu yeye anapiga pembeni automatic atajikuta amechoka af mpinzani wake atakuwa bado yuko fiti
Kwanini Iran naye asishambulie kwenye ardhi ya marekani Moja Kwa Moja kama alivofanyiwa yeye kuliko kupiga sehemu ambazo US ameweka military bases zake maumivu sio sawa sawa na kama akipigiwa mlangoni kwakwe watoto na mke waone na wawe mashahidi kama ilivyotokea Kwa Iran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.