Recent content by BabaG.com

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dawa ipi inatibu MBA usoni?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Kuna dawa nyingi za MBA. MBA wa usoni dawa gani inaweza kuutibu?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Mkuu chama2chawa sio 10mm.height inatakiwa iwe kubwa hata zaidi ya hiyo niliotaja coz faida zake ni kama zifuatazo..!kutobadilisha mara kwa mara, kunyonya unyevu,kuua imelea vya magonjwa,kutunza joto.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Natumai vifaranga vyako vinaendelea vyema,ila next time vifaranga usiviweke sakafuni hii hupelekea kupata pneumonia.,wawekee sodust,pumba ya mpunga au hata majan makavu atleast 10 cm height.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    case yako mkuu iko too general,nakushauri tafuta mtaalam karibu yako awaangalie kujua tatizo..
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Jaribu akheri powder,isipofanya kazi tumia paranex ni soln form.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kila ft moja weka kuku mmoja..
  8. B

    JamiiForums Tanzania BOT na mikopo

    Wakuu naombeni ukweli juu ya hili, Je ni kweli kuwa Benki kuu, BOT imesitisha huduma ya kutoa mikopo katika Benki zote ikiwemo CRDB mpaka mwezi July.
  9. B

    JamiiForums Tanzania BoT na MIKOPO

    Je ni kweli Benki kuu imesitisha kutolewa kwa huduma za mikopo Katika Benki zote ikiwemo CRDB mpaka July! Mwenye habari kamili juu ya hili Tafadhali Wakuu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Mkuu mashamba huko yamefika bei gan?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuku wangu wamepunguza kutaga

    Kuku wako n aina gan mkuu?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Hv wadau,mkuu kubota amepotelea wapi?au ndio yuko porin anachoma mkaa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo idara ya sekondari
  14. B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje manispaa ya morogoro mi niende dar manispaa ya temeke. 0762588818
  15. B

    JamiiForums Tanzania Study Tour kwa Mwanza

    Unajua mkuu wengi wanaotoa testimony zao humu hawako real.,wachache sana ni wakweli..!!
Back
Top Bottom