Recent content by bababkk

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kukopa fedha nyingi na kutumia fedha hizo kugharamia miradi, huko mikopo hiyo ikilipwa na walalahoi, ndio kuchapa kazi?

    Kwa utaahira wako unaona Ni sawa watu kumi wewekewe airport kwa kutumia hela ya walalahoi badala ya airstrip ambayo ingekidhi mahitaji yao na hao walalahoi waendelee kusota.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wazungu hawapendi kuwasikia viongozi wa Afrika wakisema nchi zao ni Tajiri.

    Wewe Ni taahira. Hujielewi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wazungu hawapendi kuwasikia viongozi wa Afrika wakisema nchi zao ni Tajiri.

    Nadhani nchi tajiri zikiongezeka mabeberu wanafurahi kwa Sababu soko la kuuza bidhaa zao linaongezeka. Hawana Sababu ya kukasirika. Ndio maana hata uwekezaji wa Japan Afrika ya kusini Ni mkubwa. Hivi Japan wamewekeza chochote hapa ?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kukopa fedha nyingi na kutumia fedha hizo kugharamia miradi, huko mikopo hiyo ikilipwa na walalahoi, ndio kuchapa kazi?

    Ninaomba ufafanuzi. Hivi airport ya chato inahudimia watanzania wangapi kwa siku na je Kama hiyo hela ungejengwa vituo vya afya Ni vingapi vingejengwa na vingehudumia watanzania wangapi kwa siku?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo (TAMISEMI) aagiza kila Mkuu wa Mkoa kujenga viwanda vipya 100

    Kama kiwanda kinaanzishwa kirahisi hivyo kwanini aagize vijengwe Mia moja tu? angeagiza nchi yote ijae viwanda.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameamua nchi ifungue sura mpya ya kimaendeleo kuelekea 2025

    Nadhani hata RAISI WETU MPENDWA AMEKWISHA SEMA WATANZANIA SIO WAJINGA. hivyo wanaonao yanafanyika na hawana Sababu ya kusoma andiko lako ili wajue.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa Mawakili wa Erick Kabendera aeleza kinachoendelea

    Naunga mkono hoja
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais sitisha ujenzi wa stendi za mabasi ya Nyamhongoro na Nyegezi Jijini Mwanza

    Hivi jiji la mwanza halina wataalamu wa mipango miji?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwenye mbuga ya Selous kuna ndege zinatua na kuondoka bila mamlaka na security ya nchi kujua?

    Huko angani hakuna Barabara Kama unazojua wewe. Kuna utaratibu wa kuhakikisha ndege hazigongani. Na ili huo utaratibu ufanye kazi Ni muhimu ndege inayotaka kutuka itoe taarifa na iambiwe ipite vipi huko angani isigogane na ndege nyingine
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwenye mbuga ya Selous kuna ndege zinatua na kuondoka bila mamlaka na security ya nchi kujua?

    Kama Ni hivyo Kuna haja gani ya kuliingiza kwenye mkutano wa hadhara. Nadhani ingelitosha hatua stahiki zichukuliwe watu waone tofauti wakiuliza waambiwe.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Video: Halmashauri kuu ya TLP yampitisha Dr. John Magufuli kuwa Mgombea Urais 2020

    Unaweza kuta halmashauri kuu Ni yeye na mke wake
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya hizi tuhuma za Wafanyabiashara wa Hotel ni nzito kwako, huu sio uongozi!

    Utumbo gani? Tafadhali fafanua
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji aliozindua Waziri Mkuu watoa upepo badala ya maji.!

    Unaelewa ulichoandika?
Back
Top Bottom