Recent content by Baba_Swalehe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tumekosea wapi Man U

    Man u ni timu inayoongoza kwa mashabiki duniani hiyo imetokana na soka lake mrua lilio kua linapigwa kipini cha 1999's mpaka 2010 man u ilifanikiwa kusomba mashabiki pande zote duniani Tokaea Sir.Alex kuondoka man u imepata msuko msuko mkubwa ilikabiziwa kwa moyes lakn aliishindwa akapatiwa Van...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Samata

    Samata ni mchezaji mwenye magoli 11 katika ligi ya ubelgiji akiwa anaongoza,amaekua faraja sana kwa watanzania. siku chache zilizopita alitengeneza makala inayomusuhu maisha yake kiujumla
  3. B

    JamiiForums Tanzania Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    tunaomba uanze hapo
  4. B

    JamiiForums Tanzania Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    huyo kunguru wa zanzivar hafugiki kamabkaanza ujanani uzee nii si itakua shida.cha msingi kaka achana nae mbaki muheshimiane kama mzaz mwenza tafuta mwanamke mwingine kaka
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya Singeli unaitafuta bila mafanikio?

    kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani ya Singeli unaitafuta bila mafanikio?

    kama ni mpenzi kweli wa singeli tujumuike kwa pamoja
  7. B

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    kama kuna mtu ana grouo hai la simba la whatsapp naomba aniunge kwa namba 0677369517
  8. B

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    simbaaaa oe
Back
Top Bottom