Recent content by Baba Yvonne

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, Bagamoyo Port itakuja kuwa White Elephant Port?

    Endeleeni kushindani na marehemu, ninaisubiri siku ambayo mtaanza kumkumbuka na kumuomba msamaha, kumsema vibaya marehemu hakuwezi kuondoa ukweli ambao wananchi wanaujua kuhusu rais Magufuli, lakini mjue mpinzani wenu saizi ni Samia na sio Magufuli tena yeye ameshatangula mahali ambapo sote...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiagwa Ubelgiji tayari kwa safari ya kurejea nyumbani

    Duuh! Wamemtumia hadi wamechoka, sasa ndio wamemwachia aje nyumbani likizo. Nina imani atarudi tu huko Belgiam au jamaa watakuwa wanamfwata bongo. Wazungu sio watu wazuri, hawana adabu kabisa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Hakuna aliyetarajia msiba wa Rais Mkapa kwa sababu hatukusikia kuumwa kwake, tumesikia msiba wake. Ni msiba mzito na umekuja kwa mshtuko

    INGEKUWA CORONA KIKWETE ANGEWEZAJE KWENDA KUMUONA, TENA ALIONGEA NAE, NA BADO MKEWE ANASALIMIANA NA VIONGOZI VIZURI TO TENA PASIPOKUWA NA TAHADHARI, JAMANI TUSIJIONE TUNAJUWA KUREASON KULIKO VIONGOZI WETU
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maaskofu watatu KKKT(Malasusa, Mbedule na Massangwa) watengwa

    Shoo mahaba yake na Lowassa yataangusha kanisa letu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Njoo inbox tuongee
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Bado kipo tuwasiliane no. 0718571137
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Mbele ya mradi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Hakijapimwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Ongea tufanye biashara
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Mazungumzo yapo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Unaingia kushoto
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Hakina mgogoro wowote, nipigie tuongee vizuri
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dar es salaam

    Nauza kiwanja, kipo eneo linaitwa Italiani kabla haujafika Chanika, Limezungukwa na nyumba zilizoisha tayali, ni 20kwa 20. bei 3,000,000. Maelewano yapo. 0718571137, 0756528845
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

    Kwa sasa sijaona mbadala halisi wa JPM.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana endapo Magufuli atagombea urais 2020

    Sivyo alivyomaanisha
Back
Top Bottom