Recent content by baba wabee

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SUA, Tukutane hapa

    Mkuu, Dr Mushi kawaiga wale wazee. Yeye kama yeye mrembo tu hana shida kama alivyo mke wake. Kuna kozi ya molecular biology Dr Mushi alitufundisha mbona alikuwa poa tu ila kwenye biochemistry anakimbiza anacopy kwa wale madingi. Kwenye oral exam anauliza maswali tricky km Prof Muta hahahaaaa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SUA, Tukutane hapa

    Hahahaaaaaa mkuu prof Mzanila atakuwa aliwabeba coz alikuwa fair kuliko maprof wote
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SUA, Tukutane hapa

    Congrats
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SUA, Tukutane hapa

    BLS 2010 _ 2013. Nilikuja kuanza BSc nikiwa kazini.tayr. Nilirudi kituoni kwangu baada ya kumaliza BLS. Nawakumbuka sana Dr Hoza nasikia sasa hivi amekuwa mpole sana... dr G Misinzo, Prof Balthazary alikuwa alikuwa academic advisor wangu mpk sasa bado nawasiliana nae na mara kadhaa nakutana naye...
Back
Top Bottom