Recent content by Baba Vivi

  1. Baba Vivi

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda anafaa kuadhibiwa kwa uchochezi

    Kwani kati ya wachambuzi wa michezo shafii naye yupo. Shaffii ni mchambuzi wa Udaku na umbea. Si alikosa kazi tff afu yy ni shabiki wa Yanga. Ndio maana huwa sisikilizi cloids media maisha yangu yote. Coz hawanaga habari.
  2. Baba Vivi

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

    Tukio la jana katika uwanja wa Taifa kati ya Simba na yanga limenipa funzo gumu saana. Kumbe zuruma inaweza kujenga uasi. Tuteende Haki. Bt Mh Zitto Kabwe ,Mo, Jb, Mwana Fa , Ommy dimpoz kwa nini mulivunja vitu uwanjani jana. Wakati mchezo hauitaji hasita. Soka la Bongo [emoji35] [emoji35]...
  3. Baba Vivi

    JamiiForums Tanzania Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

    Shida ya mkuu wa kaya anafanya maamuzi ya kibabe pasipo kufanya utafiti kwa kujipa muda. Bt hasara kwake
Back
Top Bottom