Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi
1-Kupitia Payoneer
2- PayPal
3-Direct kuja bank zetu hizi
Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
Nashukuru kwa Mwongozo wako, hapo kwenye wengi ndio nimekwama, lengo ni kusafirisha hizi bidhaa ndogo ndogo uzito haufiki hata kilo, ni recommend kampuni ambayo wewe unatumia itakua msaada mkubwa kwangu.
Ndugu zangu habari yenu, Ninahitaji msaada wa kampuni isiyo na longo longo ya kusafirisha parcels kutoka China, Lengo ni kununua bidhaa toka Pinduoduo.
Nahitaji inayo kubali kusafirisha parcel ndogo ndogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.