Recent content by Baba paroko2007

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe na DRC wameingia zamani nchi za kipato cha Kati, Tanzania tunashangilia kwa lipi?

    Karibu wageni Tanzania muone wanyama ,milima na Akili za BAVICHA!! hatushangilii kwasababu ya kutulinganisha na wengine bali KWAKUWA tumepiga hatua;
  3. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yamrejeshea Pascal Mayalla Press card yake iliyozuiliwa kwa takriban miaka 3 ataanza kuonekana Saba Saba!

    Hongera sana Pascal ,naamini kwa Sasa unanidhamu iliyotukuka ! Tofauti na enzi zileeeee!!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hata baada ya kujua Mgombea wa CCM ni Magufuli, why kuna watu bado wanaleta mizaha? Kunashusha hadhi ya Urais wetu!

    Hivi Pascal yule wa before 2015 na huyu aliye andika hii makala ni mtu mmoja au ni tofauti? Nauliza tu jaman
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nilikufa halafu badaye nikafufuka...

    😂😂😂🤣🤣🤣🤣
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kumbukumbu za usanii wa Serikali ya awamu ya tano

    Mtahangaika sana mwaka huu!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Bila Neema ya Mungu Watanzania wengi watakufa kwa njaa na siyo Corona ili kufanikiwa kuudhibiti Ugonjwa huu. Na usifikirie kuwa shida ni ujinga ,watalaam tunawasikiliza na kuwaelewa vizuri sana shida ni Umasikini wa Watanzania walio wengi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!

    Pascal huwa sipitwi na maandishi yako! Hebu tulitazame hili kwa pamoja kuongoza nchi na watu masikini ni kazi sana, siyo kwamba viongozi wetu hawajui njia sahihi au hatua stahiki za kuchukua dhidi ya corona shida ni umasikini wetu. Mfano ukienda Kijiji utakuta familia inaendesha maisha kwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania CCM tumeiga au hatujui tunachokifanya?

    Sawa tumekuelewa , nadhani na wewe unaunga kumtoa Kada wetu ila tunatofautiana mbinu gani itumike kati ya UWAZI na USIRI
  10. B

    JamiiForums Tanzania Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

    Wakitoka hapo ,wanakuwa wamoja huo ndio ukomavu ,vp huko kwenu ikitokea hivyo anayeshindwa lazima aole.... tu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

    Siasa safi iko ndani ya CCM, na maendeleo yanaonekana, kumbuka Magufuli wa leo ni matokeo ya Upinzani ,huyu ndie Rais tuliemhitaji kama Taifa na Mungu katupa hitaji letu, mtangulizi wake mlimwita Dhaifu akawaletea Jembe Sasa munalalama
  12. B

    JamiiForums Tanzania Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

    Siasa safi iko ndani ya CCM, na maendeleo yanaonekana, kumbuka Magufuli wa leo ni matokeo ya Upinzani ,huyu ndie Rais tuliemhitaji kama Taifa na Mungu katupa hitajo letu, mtangulizi wake mlimwita Dhaifu akawaletea Jembe Sasa munalalama
  13. B

    JamiiForums Tanzania Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

    Mkuu mtazamo wako unaweza ukawa sahihi lakini, sikubaliani na wewe kwenye bandiko lako unapo ongelea siasa safi ,.mapokeo ya wananchi juu ya vyama pinzani haimanishi kwamba hivyo vyama vina siasa safi hapana,
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

    Ungeweza kuzuia ndani ya siku 3 eeeh!!!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wapinzani, Wamarekani wameshatuonyesha njia ya kuelekea Kanaani

    Uko Tanzania au nje ya nchi? Tuanzie hapo kwanza .
Back
Top Bottom