Recent content by Baba Nia

  1. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tunakomaa mzee Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
  2. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23] Uchungu wa hii kitu usiambiwe Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
  3. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama kuna yeyote anacheza jackpot ya betpawa hapa tubadilishane maoni ya jackpot ya wikend hii Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
  4. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michano/Hiphop/Freestyle

    Hustlers leo lunch ni michano/ Pasi kali mpaka usiku saatano/ Ni kazi na dawa sio sindano/ Hip hop bila madawa tunaishi humo/ real life man sio hadithi za chitemo/ Dakika kumi za maangamizi/ shujaa nimefika tena sio mvamizi/ pumzi ndefu hata nikipiga mbizi/ haturap tutoke,tunarap for fun/ ...
  5. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michano/Hiphop/Freestyle

    Oi oi
  6. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michano/Hiphop/Freestyle

    Tupo na mvumbo/ Direct bars sio za mafumbo/ Mistari ina viungo /utasema tupo tanga/tunawapepeta kwa nyungo /rapers wachanga/word play master niite pele/nani atamfunga paka kengele/ Revolution is socialised ni digital era/Nishai yani mpaka ai inapiga akapera/
  7. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michano/Hiphop/Freestyle

    Hii ni forum ya jamii/uzi wa wasanii Tupo live kama tv/toka enzi za tape na cd/ Rap cv/nina zaidi ya four degree/ rapper tena mc/versi zangu hazichuji kama big g/ Masihi,nabii wa hii kacha/tungo ni dizasta na flow ni rapcha/ Freestyle kitengo,wacha niki so sihitaji biki/ natakatisha marapa kama...
  8. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Slow jams - pini ipi ilikubamba

    Huu uzi wa kuishi nao
  9. Baba Nia

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Shukrani mzee vipi kama nikibeba kama nimenunua ya kutumia binafsi simu 2 nazo nakutana na ushuru? kutoka zenji
  10. Baba Nia

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

    Twende ug
  11. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Twitter au wapi
  12. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Menu ya kawaida ya sportybet ni *ngapi wakuu
  13. Baba Nia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shusha code tusonge
Back
Top Bottom