Recent content by Baba mtumishi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Wasio julikana wapo kazini.
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Sasa nimeelewa sababu ya lisu kuiita "professorial rubish" ripoti yao ya makanikia enzi za utawala wa maufuli
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa na Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza

    Naamini nafsi zao zinawasuta ila wanajikaza tu viongozi wetu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Tumesha ku scan mara Tano na TAREHE 16 tuta kuscan kwa mara ya sita.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Yanga waanza kupendelewa na kulindwa huku simba wakikaziwa nati, Je ndio kazi ya zile milioni 100 ?

    Unafki wenu kwenye march nane ndiyo unawaponza dhidi ya msimamo wa yanga kwenye hiyo march nane.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Clement Mzize umemkosea heshima sana wakala wako, wachezaji wazawa ndio mana wengi hawafanikiwi kucheza nje ya nchi

    Kolo umejicha kwenye kichaka Cha kumuonea huruma jasmini na kutupa lawama kwa mzize
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Kadinali Rugambwa ikulu Chamwino mkoani Dodoma, 27 Agosti, 2025

    Usisumbuke sana na watu ambao wasipo tukana au kukejeli mtu hawajisiki vizuri.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Polepole ni mtu aliyechanganyikiwa, apewe dawa, anaropoka tu!

    Afanye hivyo hivyo, angalau ccm inaweza fikiria kumwachia Jimbo la kigoma mjini
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

    Acha kukejeli watu ni dhambi,tunachohitaji ni umoja wa kitaifa tu siku zote.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Papa Leo wenu ni msajili wenu aliyefuta kanisa la ufufuo na uzima mwambie afute na kanisa la katoliki.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    Wakati wa Mungu ukifuka yatafunguliwa tu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM wilaya ya Mkuranga afariki dunia

    Siyo vema kumwombea mtu kifo au kufurahi mtu afapo.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majibu yangu mazito na yenye hoja nzito kujibu hotuba ya Askofu Gwajima iliyotolewa Agosti 25, 2025 Usiku

    Naona umeweka anwani yako ili iwe rahisi kupata utezi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zamani maaskofu, mapadre nk walikuwa wanasoma Biblia kwanza kupata mahubiri sasa hivi wanaangalia hali ya siasa nchini kwanza na kutungia mahubiri

    Acha kufulu kwakuwa umepewa dili la kuwapamba watu,ipo siku utawakimbilia hao na kuwaona kuwa ni watumishi wa Mungu na kutafuta msaada kwao kwa ajili ya matatizo Yako.
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Unafanya mdhaa kwenye mambo ya msingi, imeandikwa katika biblia yeye azibaye maskio yake asisikie kilio Cha maskini,yeye naye atalia wala hata sikiwa.
Back
Top Bottom