Habari za majukumu wakuu,
Nilikuwa natumia watsapp mods (Fouad mods), lakini ghafla ilianza kuwa na version nyingi nikaamua kuhamia watsapp official kuanzia majuzi, nilifuta Fouad mods nikadownload watsapp messenger official,..
Shida no kuwa toka ni download watsapp messenger, siwezi kupata...