Samahani mkuu huyo uvccm ameshachangia shule ngapi?Uongozi ni kipaji toka kwa Mungu hautafutwi kwa cement wala vijisent!Ninamshukuru kama alitoa mchango kwa nia ya kuwasaidia watoto!lakini kama ni mpango wa kisiasa Pole bro!!!
God save us becouse satan is rulling our countries!!!!!including those before human look like leaders,in their hearts they know who are they!!!Please God expose them so as to people to realize what kind of leaders they have!!!!
Viongozi wetu wa Dini zote ninawasii sana kwenda taratibu na wanasiasa.Wachumia tumbo hawa wanaweza ahidi chochote wakati wanataka kura,lakini utekelezaji wake ukawa hadithi au hata ukaleta madhara kwa jamii nzima ya Tanzania!Ndugu zangu waislamu mahakama yenu mtaipata kwa njia kuuwelewesha umma...
Wanajamvi nilikua natafakari jambo moja.Kwanini wasomi waliopo ndani ya serekali ndio wenye kashfa za wizi wa kitoto na wakijinga?Nimetambua ya kua waliomo ndani ya chama hiki wengi wao ni mchwa wanaokula hadi chuma!Wasomi wetu wakiingia tu kwenye sistimu wanakula wakijua waliowateua na...
Tatizo sio Membe,Lowassa,makamba au yeyote yule bali chama chenyewe kwani hakijisimamii hivyo mtu akiwa madarakani haogopi kitu!Nani mwingine ndani ya CCM?Lazima atatajwa tu sanaaa,ila watanzania ni wakati wa kuacha siasa tusio jua nyuma yake kuna nini na ushabiki wa hovyo ni wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.