Tatizo si CCM ni mchwa wenye miguu miwili!

Tatizo si CCM ni mchwa wenye miguu miwili!

Joined
Feb 2, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Wanajamvi nilikua natafakari jambo moja.Kwanini wasomi waliopo ndani ya serekali ndio wenye kashfa za wizi wa kitoto na wakijinga?Nimetambua ya kua waliomo ndani ya chama hiki wengi wao ni mchwa wanaokula hadi chuma!Wasomi wetu wakiingia tu kwenye sistimu wanakula wakijua waliowateua na kuwachagua ni mchwa tu!CCM wajiangalie na kutafuta sumu ya hawa mchwa la sivyo ninawahakikishia ipo siku watakula sumu wote na upinzani watatelezea magogoni kiulaini!CCM wizi unawaangamiza...!!!!
 
CCM ni mchwa wa zaidi ya kichwa kimoja cha kutafunia hera ya walala hoi, tutpumulia wapi?! Mpaka sasa mafuta yamepungua bei kwa zaidi ya 50% lakini hapa kwetu zimepungua senti 27 fedha nyingine yote inaingia kwenye fuko la CCM la kutuandalia Tshirt na kofia za kutuhonga octoba na tena wanataka kuongeza sh mia kila lita !! basi mkuu nakatisha, Nabata ushungu sana.
 
Eti CCM watafute sumu ya mchwa hawa! Thubutu! Umewahi kufikiri juu ya panya kutafuta sumu ya panya? Yaani waue watoto wao, kaka na dada zao shangazi na wajomba zao, babu na bibi zao? Mbona wote ni familia moja?
 
Back
Top Bottom