Kwa pamoja tumpongeze Mhe. Rais kwa maamuzi anayoyafanya kwa wafanyakazi wazembe katika sekta zote. Akiendelea namna hii bila shaka mabadiliko tutayapata hata kama haitafikia 100%. Salute kwa Magufuli.
Siku hizi hayo magwanda yamejaa tele mitumbani. Huyo si askari na mavazi hayo huenda kayanunua mnadani.
Kutokana na taarifa ya JWTZ makao makuu kubainisha kuwa hayo sio mavazi ya jeshi letu, basi mi naona mjadala ufungwe na jambo hili lipotezewe. Magazeti hupenda kutafuta headings za kuuzia...
Mimi nawaomba watanzania wenye mapenzi mema na cdm kuungana katika kipindi hiki kigumu kuelekea 2015, tuwasupport viongozi wetu ili wafanye kazi kwa moyo na kwa bidii kwa lengo moja la kushika bunge na ikiwezekana dola. Wale wote wanaoonekana kukivuruga chama wafukuzwe mara moja lakini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.