najiuliza halafu sipati jibu,wote mlochangia mmechangia vizuri kwasababu unachangia kitu unachokielewa isitoshe tuko kwenye mawazo huria,ila NAJIULIZA kumwita mtu BABA kuna uhusiano gani na UKRISTO?mh natia shaka vijana wenzangu mnaofikiria hilo huku mkihusianisha hizo concepts mbili inaonesha...
mtu anapochangia mtazamo wake katika maswala mbalimbali ni lazima mtazamo wake udondokeee kwa walio wengi?au aseme anachokiamini bila kufungwa na yeyoyote,kutokana na hilo nashauri mtu anapokuwa kaongea pumba tusimua attack yeye direct,tuattack hoja yake hiyo ambayo sisi tunaiona pumba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.