Hongera sana CDM kwa ushindi wa arumeru, udiwani mbeya na mwanza. Kwa mtizamo wangu juu ya hii thread uko tofauti na wanaofikiri kuwa EL ndiyo sababu ya kushindwa kwa Ccm.
Sasa hivi watz wameuchoka utawala wa ccm ambao haujakidhi matakwa yao kwa muda mrefu. Hali ya maisha imekuwa mbaya siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.