Recent content by Baba jojo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Karibu Wema Sepetu, ila kumbuka huku tulipo cc ni zaid ya wakimbizi ingawa tupo ndani ya nchi yetu, muda wowote utapigwa mabomu ya machoz, utakamatwa na kusekwa lupango na hakuna dhamana, Mzee Lowasa naona sasa amezoea maisha ya huku kwetu, ni maisha mazuri yasiyo na stress sana sema tumenyimwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania European Union extends sanctions on Mugabe on the eve of his 93rd birthday

    Hawa ndyo aina ya viongozi wa kiafrica tuiokuwa nao, amefanya mengi mabaya kwa raia wake kwaiyo naogopa kuachia madaraka anaona heri afie madarakan.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Kama Manji hatokutwa na hatia yoyote yahusiyo madawa ya kulevya, basi Makonda ajiandae kufunguliwa kesi mahakaman maana huyo muhindi hatokubari kuchafuliwa jina lake.
Back
Top Bottom