mimi nina miaka 26 cjaoa ndo nimemaliza chuo. kama vp check me tuone ntakusaidiaje hiyo hali. ufurahie ulimwengu wa mapenz. najua kitu kikubwa kinachokosekana kwako ni furaha ya mapenz. utaipata na utatulia
mimi ni mkristo alieanguka dhambini mara nyingi, nina miaka 27 nina elimu ya darasa la saba, msafi wa mwili ila mchafu wa kiroho, kazi yangu ni shoe shine. nina wish wewe uje uwe mke wangu labda Mungu amekutumia wewe uje kubadilisha maisha yangu ya kiroho
maisha ni mizunguko na yenye changamoto nyingi, hususani katika masuala ya mapenzi, kila mtu katika mapenzi lazima akutane nayo,
zamani nilidhani wengi wanaokutana na matatizo ktk mapenzi ni wale wasiokuwa na hela au masikini. la hasha mapenzi yanaliza class zote zote matajiri na masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.