Hitimisho la Simulation
Simulation ni mfumo wa maisha ulioundwa kwa kanuni maalum, ambapo kila binadamu ni character aliyepewa nafasi ya kujifunza, kujaribiwa, na kukua. Kila tukio tunalopitia – furaha, huzuni, tamaa, hasira, kifo – si ajali, bali ni somo lililowekwa ili roho iendelee kukua...