Recent content by baba BillG

  1. baba BillG

    Tanroads mtwara,lindi na dodoma

    Basi ckubahatika kufahamu hilo. Asante kwa taarifa
  2. baba BillG

    Tanroads mtwara,lindi na dodoma

    Wadau vp, Nafasi zilizotangazwa za TANROADS mbona Morogoro ndiyo wameishaita kwa ajili ya usahili, hawa jamaa wengine wa Dodoma, Lindi, Mtwara, n.k mbona kimya? Tupasheni kama kuna mdau ana habari kuhusu hawa jamaa.
  3. baba BillG

    Mikoa ya kuanzia maisha

    Kama ni ushauri, nadhani umeishaupata mwingi tu, ila mwisho wa ck wewe ndo mwamuzi na mtekelezaji. Kwa ujumla "Maisha ni popote" Songa mbele wewe ni graduate! :confused2:
Back
Top Bottom