Recent content by Baba Angela

  1. B

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Ni ujinga kutoa hadharani shutuma nzito kama hii bila ya udhibitisho.
  2. B

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Hizi ni taarifa ambazo hazijadhibitishwa. Mbowe ni mwanaharakati mpambanaji. Naona hivi karibuni smear campaign dhiki yake zimekuwa kero sasa. Siasa ya Tanzania ni ngumu kwa sababu unafiki na majungu ndo vinatawala badala ya maswala ya msingi, hata kama amefeli masomo yake (yanamhusu yeye na...
  3. B

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Nadhani Rostam anaushawishi mkubwa katika ku-lobby kwa siri-kali makampuni ya kitapeli kama Richmond, etc. Ametajwa huko, lakini pia inawezekana anaushawishi kwenye vyombo vya habari ili asitajwe kiasi cha kutosha kwenye kashfa kadhaa. Dua la kuku halimpati mwewe? Rostam ni mwewe....wananchi ni...
Back
Top Bottom