Huyu mama mnyenyekevu sana mbele ya jamii lakini hivi alivyofanya siyo nzuri kwani alitakiwakutumia ushawishi wake.
Hii picha inaonyesha km vile aliwakosea watu hawa kitu fulani.
Halotel walikuwa wako vzr but kwa sasa ni mwendo uleule.
Angalau voda ukipata units 1500 kwa 2000/-
utafanyamapinduzi ya ukweli kwa kupinduapindua unit 1=dk 1 (voda to voda)=mb1 na units5 = dk1 kwenda mitandao mingine .
Hii ni ya chuo na ni ya siku 7 tu, lakini kungekua na units za siku 30...
Kwanini unaongelea upuuzi huo leo , kama ungelikuwa na kifua cha kukisemea haya unayo yasema leo ungelisemea kipindi yuko CDM ningesema uko sahihi lakini kwa sasa ni unafki uliotukuka.
Kwanza huna data kamili juu yake zaidi ya kurukaruka km chura afanyavyo akiwa nchi kavu.
Hao wananchi na...
Wengine wanatoa na wataendelea kutoa ushauri kwa wengine juu ya nin jamii au watu fulani walitakiwa kufanya.
Lakini hao hao wanaotoa ushauri kwa wangine daima hupingana na ushauri wao kivitendo..na hata kidhamira.
Haya ndyo matatizo mengine ya binadamu yakuwa yeye mwenyewe hawezi endanana...
Km walimdihaki basi imekuwa zamu yao sasa ,unamchekelea binadamu mwenzia wakati anapitia kwenye hali ngumu ya kimaisha?
Leo utamcheka kesho na ww utachekwa vile vile na utapewa majina km hayo.
Mkuu wa nchi akikutewa ni lazima ukubali maana yeye siyo ccm,cdm wala cuf,yeye ni taasisi ,yeye wa watz wote.
Km ulichukia huo uteuzi ina bidi ukasubiri zamu yako km unasifa hii.
=>Jiwe lililoachwa na waashi sasa limekuwa jiwe la ujenzi.
=>Hongera sana mzee nakuelewa sana .
=>Karatu iliyofunuliwa nguo kabla ya enzi za uongozi wako na makaburu wa enzi hizo ,ulilirudishia nguo daima itakukumbuka.
=>Wacha wasiojua utendaji wako wakapige kelele na jua hizo kelele ni za...
=>Jiwe lililoachwa na waashi sasa limekuwa jiwe la ujenzi.
=>Hongera sana mzee nakuelewa sana .
=>Karatu iliyofunuliwa nguo kabla ya enzi za uongozi wako na makaburu wa enzi hizo ,ulilirudishia nguo daima itakukumbuka.
=>Wacha wasiojua utendaji wako wakapige kelele na jua hizo kelele ni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.