Habari zenu wadau wa jf. Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu sehemu ambayo naweza kupata mashine ya sugar centrifugal/ PEWA. Mashine hii inatenganisha sukari na molasses. Naombene msaada kwa yyte mwenye uwelewa juu ya hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.